Origin: Unknown
Use: Leo mbachu ita ni bambia kejani= Today khat is going to me up at the house
Period: Late 90's
Pronounciation: (Verb) [ mba-choo ]
Relate: Kushikisha Kurunda Kubambiasha
No replies yet. Start the conversation.
Vile nyinyi wagesi, budako akishika ten shillings, ati Moi ana baki na vest
we ni mblaki Hadi damu inasaculate kwA mwili yako na torch
We ni mzee Hadi ukifanya 180 unahara bluband.
Kwenyu nyinyi wachoyo mpaka mkipika kuku mnakula kama hamjawasha stima
Kwenu nyi ni ma-miser mpaka price ya colgate ikipanda mnateta na hamna meno