Origin: Unknown
Use: Maze Omosh ali wang'wa mawaru ika bidi achujwe kwa game = Omondi was hit in the (groin or balls) testicles and had to be taken from the field
Period: Unknown
Synonyms: Bolingo
Pronounciation: (Noun) [ mah-wah-roo ]
No replies yet. Start the conversation.
Kwenu muko wadosi mpaka kuku zenu zinafanya aerobics saa kumi na kunywa juice instead ya maji
umenona hadi ukivaa t-shirt ya green unakaa kibanda ya mpesa
Budako huhepa job ku-slide na socks
Ati naskia shosh yako ni mzee hadi anapigwa shock na Moshi ya ugali 😂😂
Asubuhi asubuhi koo na omena