Origin: Unknown
Use: Naenda kukwachu mawada kwa pedi = I am heading to the peddler to get a weed
Period: Unknown
Synonyms: Shada Ngwai Nduku Nguzu Gwill Mbaaga
Pronounciation: (Noun) [ mah-wah-dah ]
Relate: Fwaka Cigar Fegi Shisha
No replies yet. Start the conversation.
were ni mfupi hadi unaendanga marathon ndani ya pekelle
Doggy yenu imebeat hadi iki bark lazima ijishikilie kwa ukuta.
Budako amevaa ngotha moja folong mbaka siku aliitoa ikaanguka halafu ikapasuka kaa nyungu
kwenu mko wengi hadi mkipakuliwa dishi mwenye amekula fiti ni mwenye amelamba mwiko.
Kwenyu muko wengi, ukifungua mlango watu watatu wanadunda inje