Origin: Unknown
Use: Spendi risto za Anto zake ni mavako = I dont want Anthony's stories they are always lies
Period: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ mah-vah-koh ]
No replies yet. Start the conversation.
Na skia ww ni mkonde mpaka ukisimama Kwa wall unakaa crack
Ati wewe bu mweusi sana hadi ukikaa kwa ukuta una kaa shortcut 😂🤣
umenona hadi ukivaa t-shirt ya green unakaa kibanda ya mpesa
were ni mfupi hadi unaendanga marathon ndani ya pekelle
Kwenyu nyinyi wachoyo mpaka mkipika kuku mnakula kama hamjawasha stima