Search
Origin: -
Use: Manze jo! niaje na wewe bana?! = Oh man!! what's with you?!
Period: Late 70's
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Interjection.) [ man-ze ]
History: Maze Frmo English phrase "oh man!"
No replies yet. Start the conversation.
naskia baba yako ni mlafi hadi huwa ana ficha gither kwa warlet
Nyanyako ni kipofu lakini mwachie kwa kuchagua ngotha za valentine
we ni mchoyo hadi unaflash.999.makarao
Nasikia we ni mkonde mpaka uki turn una disappear
Maskio kama mlango ya probox