nasikia gari yenu imezeeka hadi inavurutua na punda
Asubuhi asubuhi makaa na maji ya sukuma
We ni mrefu mpaka ukichoka kaa unatembea mtaani unajisupport na wire za simu
Kwenu nyi ni ma-miser mpaka price ya colgate ikipanda mnateta na hamna meno
ukona maskio kubwa Hadi ukizaliwa daktari alikushika kama trophy