Search
Origin: -
Use: Mamaa wa mine ananipenda sana = My girlfriend loves me very much
Period: Unknown
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ Mah-maah ]
Relate: Haga Jegi Yogoyogo Mkitu Msupa Msupuu
No replies yet. Start the conversation.
Asubuhi asubuhi goodygoody na makojo ya ngamia
Asubuhi asubuhi makaa na maji ya sukuma
Manzi wako ni mtall mpaka Mungu akiboeka anamsuka matuta
We ni mweusi hadi mbu ikitaka kukuuma yo huitisha torch
Kwenyu nyinyi wachoyo mpaka mkipika kuku mnakula kama hamjawasha stima