Origin: Unknown
Use: Omollo ni makani mnoma sana = Omollo is such a good mechanical engineer
Period: Early 80's
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Noun) [ mah-kah-nee ]
Relate: Engineering
No replies yet. Start the conversation.
Paka yenu noma mpaka ikishika panya inaitisha chumvi
Kwenu muko wengi mpaka mathe hupika chapo mbili zingine anafanya photocopy ndio yeye na fathe wakule original
Ati wewe ni mweusi hadi huwezi kuwa na a BRIGHT idea.
Wewe ni mgreedy mpaka mother-ko akiwa na ball yako akipika chapo siku moja, ulichomoa mkono ukasema "nigeee!"
Ati wee ni mnono mpaka ukikalia kiti inasema paxes