Wewe ni mshort mpaka ukikalia kwa pavement miguu ina hang kwa hewa
Doggy yenu imebeat hadi iki bark lazima ijishikilie kwa ukuta.
Wewe ni fala mpaka uikiingia kwa KBS unapiga hodi na unatoa viatu
Nyanyako ni mdedli karate mpaka wasee wa F2 wakamchora ka baunsa
Ati wewe ni kichwa ngumu hadi ulikataa kuzaliwa uchi!