Origin: Unknown
Use: 1. Lorna ung'ara machupa = Lorna wears glasses 2. Ma boy wako juu ya machupa! = The boys are drinking
Period: Early 90's
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Noun) [ -Maa-chuu-pa ]
History: Derived from a Kiswahili word meaning Chupa which means bottle
No replies yet. Start the conversation.
Ati kwenu nyinyi wachafu mpaka mkimaliza kuoga sabuni inawasengenya
Umeunga mpaka unatoanga ngozi ya miwa ka ndizi
Weh ni mnono mpaka bed yako ikona zgwembe.
ATI we ni mkonde Hadi una miss mvua
Kwenu muko wengi mpaka mathe hupika chapo mbili zingine anafanya photocopy ndio yeye na fathe wakule original