Origin: Unknown
Use: Lengana na hizo books na ukuom = Just leave the books and come
Period: Mid 90's
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ Le-nga-nah ]
History: Derived from the sheng word 'LENGA'
No replies yet. Start the conversation.
Wewe ni mrefu mpaka ukivaa trao inaisha fashion kabla ifike kwa waist
Na skia ww ni mkonde mpaka ukisimama Kwa wall unakaa crack
Nyinyi ni wadosi hadi dogi zenu zina dogi za kuzichunga.
Budako amevaa ngotha moja folong mbaka siku aliitoa ikaanguka halafu ikapasuka kaa nyungu
were ni mfupi hadi unaendanga marathon ndani ya pekelle