Ati umesota mpaka mwizi akikam kuiba anaiba duster
wewe ni mfupi hadi unakatiaga nyasi
Ati wewe bu mweusi sana hadi ukikaa kwa ukuta una kaa shortcut 😂🤣
Umezoea kutumia wasee please call me mpaka ukipress *130* simu ukutolea phone book ujichagulie.
we ni mchoyo hadi unaflash.999.makarao