Origin: Unknown
Use: Nilikuwa idhaa ya janta sikuwa nima mada = I had not finnished my work that's why i was in a hurry
Period: Mid 90's
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ koo-wah-eeh-dhah ]
Relate: Teketeke Teke Idhaa Gidhaa
No replies yet. Start the conversation.
Kwenu mko wengi hata mkienda dining room mnaingia na gate pass
We m-ugly mpaka kipofu anavaa paperbag kukubinja
msee akona maskio kubwa hadi anashika waves za safaricom
Budako ni mjinga mpaka alipoingia kwa buu aliambia konda amshikie chuma ndio atoe pesa
Kwenu muko wadosi mpaka kuku zenu zinafanya aerobics saa kumi na kunywa juice instead ya maji