Origin: Unknown
Use: Naskia kutuna vile nimemanga kambese - I'm feeling sleepy after I had ugali
Period: Mid 90's
Pronounciation: (Inflected verb) [ Koo-too-na ]
Variations: -,
No replies yet. Start the conversation.
Budako mugly mbaka anaishia home kutoka zoo na mandizi mob amegeiwa na matourist
ATI budako ni mzee Hadi akona kaburi Kwa makende
Wewe ni miser mpaka ukiwa kwa KBS back seat ukiitishwa doo unapoint nyuma
aty shosho yako ni mzee hadi wameandika kwa matiti no milk yes yoghurt
Kwenu muko wadosi mpaka kuku zenu zinafanya aerobics saa kumi na kunywa juice instead ya maji