First time yako kununua ballgum mtu wa duka akakipea ya green ukasema nope ile imeiva
We mchafu mpaka nzi ikikulandia inavaa slippers
Ati phone yako ni ya zamoh,ukitumiwa sms unaishia kucollect kwa post office.
eti uko so shy hadi gotha yako iko na collar
We ni mweusi hadi mbu ikitaka kukuuma yo huitisha torch