Origin: -
Use: Nipoa kutae ukiwa mpienga = It's good to be circumcised when one is still young.
Period: Unknown,
Synonyms: CBD
Pronounciation: (Verb) [ Koo-ta-e ]
History: Derived from Swahili word 'Tahiri'
No replies yet. Start the conversation.
Manzi yako ni mkonda hadi mukienda kupanda mat unaambiwa”pole buda lakini hatubebi miwa”
huyu mseee ana maskio kubwa,akiinuliwa juu!,anabebwa kaa trophy
auna nywele mbaka ukienda Kwa kinyozi una ambiwa boss atu nyoi matako
Ati umekonda mpaka we hutumia elastoplast badala ya always
msee ni mweusi hadi difference yake na midnight ni 11:59.