Origin: Unknown
Use: Na ule mdem kushuria ndio zake =And that chik looking smart is her style.
Period: Early 2000
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ Koo-shoo-ree-ah ]
Variations: -,
No replies yet. Start the conversation.
We ni mnatty hadi ukiswitch on nokia yako,badala ya hizo mikono kusalimiana,ziugota.
Umezoea kutumia wasee please call me mpaka ukipress *130* simu ukutolea phone book ujichagulie.
Chali yako ni mkonda alibloiwa na wind mpaka S.Africa na hana passport
huyu chali ni fala mara yake ya kwanza kumwaga alienda kwa doctor akidaisha nini yake ina homa
Dogi yenyu mzee mpaka kauzi aki'come,yumtemea mate