Origin: Unknown
Use: Nahizo tabia zako mimi nina kushtuka = With your behaviour me i fear you
Period: Late 80's
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ Koo-shto-kah ]
Relate: Kugwaya Kuhaha Kuingia njeve Kuingia baridi Kuingia maji Kuingia waba
History: Derived from the swahili word 'SHTUKA' meaning to be afraid or to fear
No replies yet. Start the conversation.
Kwenu muko wadosi mpaka kuku zenu zinafanya aerobics saa kumi na kunywa juice instead ya maji
Kwenu muko wengi mpaka buda wenu ametengeza roundabout kwa hao.
Ati naskia shosh yako ni mzee hadi anapigwa shock na Moshi ya ugali 😂😂
aty shosho yako ni mzee hadi wameandika kwa matiti no milk yes yoghurt
Paka yenu noma mpaka ikishika panya inaitisha chumvi