Origin: Unknown
Use: Mniaju amejaribu kushonga lakini kelele mtaani ni most - The baby tried to sleep but couldn't due to noise from the neighborhood
Period: Mid 90's
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Inflected verb) [ Ku-sho-nga ]
Variations: -,
No replies yet. Start the conversation.
Aty weni mchoyo adi uki enda kwa jirani upate maji ya mchele wana hi badilisa ina kuwa yamtoi kuoga
naskia baba yako ni mlafi hadi huwa ana ficha gither kwa warlet
ati nyinyi wadosi mpaka mkienda ocha mnabeba nguo kwa flash disk
ety ww n mrefu Hadi unagotea mungu
Ati umezoea kuokoa jahazi hadi safcom hukuuliza utahama lini?