Origin: Unknown
Use: Ule jamaa amevaa suti alikuwa anajaribu kusanya = The guy in suite was trying to steal from you
Period: Unknown
Synonyms: Kudhanya Kuthanya Kudingo Kugondi Kupinji
Pronounciation: (Verb) [ Koo-sa-nyaah ]
Relate: Mgondi Mgosa Msanyaji Pinji Pocka Mtape Cono Koni
Clarification: Not to be confused with the swahili word ''kusanya'' meaning to gather all together,
No replies yet. Start the conversation.
Nyinyi ni wengi kwenu mpaka mlango ikifunguliwa munamwagika nje.
Paka yenyu imeona mamovie mpaka ikifuata panya inalia tereng! tereng!
Ati naskia shosh yako ni mzee hadi anapigwa shock na Moshi ya ugali 😂😂
naskia shosh Yako Ako na mbio Hadi kwa mlango ameekewa bams
we ni mchoyo hadi unaflash.999.makarao