Search
Origin: Unknown
Use: Ile ndio place ya kurojo =There is the place to urinate
Period: Unknown
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ ku-ro-jo ]
Relate: kunyora nyora susu rojo
Variations: -,
No replies yet. Start the conversation.
Asubuhi asubuhi mabuyu na cools
were ni mfupi hadi unaendanga marathon ndani ya pekelle
Umekonda mbaya mkicheza birikicho unajifichanga Kwa sindano
Budako uhepa gumbaru, anaenda kuangalia tractor ikikata manyasi
kwenu ni ocha sana hadi sms ikifika unaipanguza vumbi