Origin: Unknown
Use: Ile nimoti ya wasee wa kuperemba = That car is for those people who rob.
Period: Early 80's
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ Koo-pe-re-mbah ]
Relate: Kupinji Kudhanya kusanya Kugondi Kuthora
Variations: -,
No replies yet. Start the conversation.
Ati wewe ni kichwa ngumu hadi ulikataa kuzaliwa uchi!
We mblack mpaka ukikutana na mzungu afternoon anakushow "Good evening?"
shosho yako ni mzee hadi wameandika kwa matiti no milk yes yoghurt
We mchafu mpaka nzi ikikulandia inavaa slippers
Aty weni mchoyo adi uki enda kwa jirani upate maji ya mchele wana hi badilisa ina kuwa yamtoi kuoga