Origin: Unknown
Use: Nadai kuishi life yangu kila idhaa nikiwa ma kuomoka = I would like living my life always being rich
Period: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ koh-oh-moh-kah ]
Relate: Wealth, Finance, Cash.
Variations: kwomoka
No replies yet. Start the conversation.
umenona hadi ukivaa t-shirt ya green unakaa kibanda ya mpesa
unakichwa bigi hadi ukidream unadream 7 in 1
Ati wewe ni kichwa ngumu hadi ulikataa kuzaliwa uchi!
Unamatako kubwa mpaka watu hupata marao na kuidandia kama mathree
Kwenu muko wengi mpaka mathe hupika chapo mbili zingine anafanya photocopy ndio yeye na fathe wakule original