Origin: Unknown
Use: Jana ule msee alikuwa alikuwa makunyweta = Yesterday that guy was drinking
Period: Early 2000
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Adjective) [ Ko-nywe-ta ]
History: Derived from the swahili word
No replies yet. Start the conversation.
We mrefu mpaka ukianza kuvaa handa by the time ifike kwa magoti ime rust
umenona hadi ukivaa t-shirt ya green unakaa kibanda ya mpesa
eti uko so shy hadi gotha yako iko na collar
Ati wewe ni kichwa ngumu hadi ulikataa kuzaliwa uchi!
nasikia gari yenu imezeeka hadi inavurutua na punda