Origin: Unknown
Use: Ile dogi naona ni sick ni kama kunyuri ndio zake = The sick dog i dont see it Surviving seems it will have to die
Period: Mid 2000
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Adjective) [ Ko-nyo-re-aah ]
Relate: Kuishia Kutulenga Kutusare
No replies yet. Start the conversation.
Nyanyako ni mdedli karate mpaka wasee wa F2 wakamchora ka baunsa
Asubuhi asubuhi toast mayai na jasho ya makende
Ati ulikuwa na bro wako kejani ukiskiza redio halafu mtangazaji akasema ati tunawapeleka moja kwa moja hadi uwanja wa uhuru park. Ati kuskia hivyo mkadandia redio.
We ni mnono hadi ukikunywa novida huwezi get lifted!
We mfupi mpaka unatoka kwa basi na parachute