Origin: Unknown
Use: Eish! Timo ame nyandua Dori = Timothy has just had (casual) sex with Dorine
Period: Mid 2000
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ Nya-ndoo-a ]
No replies yet. Start the conversation.
Budako ana mikono ngumu, akishika kobole, inampatia change ya mafeeu
Ati we ni mchoyo mpaka line yako ya YU inaitwa ME
ati kwenu ni wafupi hadi mnadishi mkiwa chini ya meza
Wewe ni fala unarewind CD na biro pen
Kwenu muko wengi mpaka mathe hupika chapo mbili zingine anafanya photocopy ndio yeye na fathe wakule original