Origin: Unknown
Use: Ule mdem anapenda kung'ethia = That lady likes to stare.
Period: Early 90's
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ koo-ng'ee-thee-aah ]
No replies yet. Start the conversation.
wewe ni mjinga… mpaka ulirepeat kunyonya.
Ati wewe ni mzee hadi ukizaliwa “OLD TESTAMENT” ilikuwa inaitwa “TESTAMENT”
Manzi yako ni mkonda hadi mukienda kupanda mat unaambiwa”pole buda lakini hatubebi miwa”
Budako uhepa gumbaru, anaenda kuangalia tractor ikikata manyasi
Ati phone yako ni ya zamoh,ukitumiwa sms unaishia kucollect kwa post office.