Origin: Unknown
Use: Jana kumbao tu ndio zilikuwa zangu = Yesterday I kept getting erections
Period: Early 90's
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ koo-mba-o ]
Relate: Sex
History: From Swahili word "ku" which is a suffix for intransitive action and Sheng word "mbao" which means erection
No replies yet. Start the conversation.
huyu mseee ana maskio kubwa,akiinuliwa juu!,anabebwa kaa trophy
kwenu ni ocha sana hadi sms ikifika unaipanguza vumbi
Uko mweusi mpaka kwa night class unashow meno ndio usimakiwe absent
Nyinyi m-mesota mpaka mna-kunywanga chai na kifuniko ya Bic
We ni mrefu mpaka usiku miguu zinalala kwa jirani