Origin: Unknown
Use: Ningependa kumanya unaenda wapi = I would love to know where u are going
Period: Unknown
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ Ku-ma-nya ]
Variations: Kuh-mah-nyah,
History: Derived from luhya community.
No replies yet. Start the conversation.
Ati wewe ni mweusi hadi huwezi kuwa na a BRIGHT idea.
We ni mweusi hadi mbu ikitaka kukuuma yo huitisha torch
Ati wewe nimchafu mpaka ukiingia kwa lake kuswim, fish zinatoka kutema mate
Dame yako amekonda hadi yeye huchungulia kwa key hole na macho zote mbili.
Mlango za gari yenyu huwa zinafungwa na vifungo za shati