Origin: Unknown
Use: Ukicheza na mimi naweza kukuvaa = I can beat you up
Period: Mid 90's
Synonyms: Kukurwada kukutwanga
Pronounciation: (Verb) [ koo-koo-vaah ]
No replies yet. Start the conversation.
ATI we ni mkonde Hadi una miss mvua
Uko mweusi mpaka kwa night class unashow meno ndio usimakiwe absent
We mchafu mpaka nzi ikikulandia inavaa slippers
Chali yako ni mkonda alibloiwa na wind mpaka S.Africa na hana passport
huyu mseee ana maskio kubwa,akiinuliwa juu!,anabebwa kaa trophy