Origin: Unknown
Use: Ile kirende si inajua kukatika = That crue knows how to dance.
Period: Mid 90's
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ Kuu-kah-tee-kah ]
Variations: -,
History: Derived from swahili word 'KUKATIKA' which means to break.
No replies yet. Start the conversation.
uko na nywele moja moja kama shamba ya cartoon
We ni mrefu mpaka ukichoka kaa unatembea mtaani unajisupport na wire za simu
kwenu ni ocha sana hadi sms ikifika unaipanguza vumbi
Chali yako ni mkonda alibloiwa na wind mpaka S.Africa na hana passport
Paka yenu noma mpaka ikishika panya inaitisha chumvi