Origin: Unknown
Use: Hata kukatiana yao haita fika mahali = Their courting won't get them anywhere
Period: Mid 80's
Synonyms: Kumendeana Kuweka box
Pronounciation: (Inflected verb) [ koo-ka-tee-a-na ]
History: Derived from Sheng word "Katia" but given the Swahili prefix "ku" to denote action of courting
Clarification: -,
No replies yet. Start the conversation.
Ati Unakipara ukivaa polo neck unakaa roll on
We ni mrefu mpaka ukichoka kaa unatembea mtaani unajisupport na wire za simu
kwenu mko wengi hadi mkipakuliwa dishi mwenye amekula fiti ni mwenye amelamba mwiko.
Kwenu muko wengi mpaka mathe hupika chapo mbili zingine anafanya photocopy ndio yeye na fathe wakule original
We ni mweusi hadi mbu ikitaka kukuuma yo huitisha torch