Origin: Unknown
Use: Naona siku hizi mato ame kuingizia njeve = I can see nowardays Martin is scared of you
Period: Early 2000
Synonyms: Kuingiza baridi Teveva
Pronounciation: (Verb) [ koo-en-gee-zah-n-je-veh ]
History: Derived from the swahili words ''kuingizia'' meaning ''to enter'' while njeve is a sheng word meaning ''cold''
No replies yet. Start the conversation.
Nasikia we ni mkonde mpaka uki turn una disappear
Kwenu muko wadosi mpaka kuku zenu zinafanya aerobics saa kumi na kunywa juice instead ya maji
were ni mfupi hadi unaendanga marathon ndani ya pekelle
ww n mkonde adi unavaanva socks n belt
Mlango za gari yenyu huwa zinafungwa na vifungo za shati