Origin: Unknown
Use: Ooe! Odush itabidi uwache kuingia mawoiye = Hey !Odundo you will have to stop being scared
Period: Early 2000
Synonyms: Kuingia njeve Kuingia baridi Kugwaya Kuingia waba
Pronounciation: (Verb) [ kuh-eeh-gee-ah-ma-wo-eeh-yeh ]
Relate: Kuteveva
No replies yet. Start the conversation.
Budako ana mikono ngumu, akishika kobole, inampatia change ya mafeeu
We ni mnono hadi ukikunywa novida huwezi get lifted!
Manzi yako ame beat hadi badala ya kupelekwa extreem make ova, alipelekwa panel beating!
nasikia gari yenu imezeeka hadi inavurutua na punda
huyu chali ni fala mara yake ya kwanza kumwaga alienda kwa doctor akidaisha nini yake ina homa