Origin: Unknown
Use: Niaje Baibe nilicome asubuhi kukuchukuwa nika kuhata = How are you baby i came in the morning to pick you up but missed you.
Period: Early 90's
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ Ku-haa-tah ]
Variations: -,
History: Detrived from swahili word 'HATA' which means to 'MISS'
No replies yet. Start the conversation.
Kwenyu kuchafu mpaka mende zenu ni oboho, ati wanaambia wale new wakae ridho kwa kitchen
We ni mweusi hadi mbu ikitaka kukuuma yo huitisha torch
Naskianga ati damu yako ni tamu jo, hadi mosquito zinakamingi na mandazi..!!
Wewe ni mrefu mpaka ni wewe huongezea jua makaa
Aty weni mchoyo adi uki enda kwa jirani upate maji ya mchele wana hi badilisa ina kuwa yamtoi kuoga