Origin: Unknown
Use: Uwanjo sisi hugusa nayo ball haina nyazi = The field where we play soccer has no grass.
Period: Mid 90's
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ Ku-gu-sa ]
Variations: -,
History: Derived from a swahili name GUSA wich means touch.
No replies yet. Start the conversation.
wewe ni mfupi hadi unakatiaga nyasi
kwenu nyinyi ni wezi hadi Ali baba and the 40 thieves walikam attacho kwenu.
We ni mrefu mpaka usiku miguu zinalala kwa jirani
First time yako kuona train ulithani ni nyoka ya Mabati 😂
Ati phone yako ni ya zamoh,ukitumiwa sms unaishia kucollect kwa post office.