Origin: Unknown
Use: Tao ukijaribu tu kugondi anaweza pigwa nowathee = In town if you try to steal you can be beaten up by mob.
Period: Unknown
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ Ku-goh-ndee ]
Variations: -,
History: From Sheng word "Gondi" which means thief or steal
No replies yet. Start the conversation.
Ati phone yako ni ya zamoh,ukitumiwa sms unaishia kucollect kwa post office.
Ati wewe ni mweusi sana hadi ukikaa kwa ukuta una kaa shortcut
Budako huhepa job ku-slide na socks
We mchafu mpaka nzi ikikulandia inavaa slippers
uko na ngozi tight mpaka ukikunja ngumi macho infunguka.