Origin: Unknown
Use: Manze jo mtu wangu venye uli sing nili kufeel = My dude after singing i really understod you
Period: Mid 90's
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ kuh-fee-eel ]
History: Derived from the english word 'FEEL'
No replies yet. Start the conversation.
Una kichwa so mpaka ukiwa nasaa venye watu walikuwa wakiimba hedi,shoulder....wewe ulikuwa ukiimba.. hedi,hedi hedi,hedi
We mzee na danda mbaka ulikuwa naso na onyato ati na ujamada form four bado
uko na ngozi tight mpaka ukikunja ngumi macho infunguka.
Kwenu mko wengi hata mkienda dining room mnaingia na gate pass
unakichwa bigi hadi ukidream unadream 7 in 1