Search
Origin: Unknown
Use: Leo naenda kuchongo Deno = Today I'll roast Dennis
Period: Late 60's
Synonyms: Mchongoano
Pronounciation: (Verb) [ koo-cho-ngo ]
Relate: Human interactions
No replies yet. Start the conversation.
Budako uhepa job kwenda kucheza katii na mboch
Wewe ni mrefu mpaka ukivaa trao inaisha fashion kabla ifike kwa waist
Nyinyi ni wadosi hadi dogi zenu zina dogi za kuzichunga.
Asubuhi Asubuhi Patco na mapera
nasikia wewe ni mfupi mpaka wajua pahali shetani anaficha chupi