Origin: Unknown
Use: 1. Hata usi startishe hiyo movie! Ita kubamba design uta late kuenda chuo = Don't even start watching that movie, you'll get too engrossed in it that you'll get late for school 2. Uki vuka reru makarao wa reru wata kubamba = If you cross the railway line, the cops will arrest you 3. We iba tu shuge! Mdhama ata kubamba = You just keep stealing sugar, mum will catch you red-handed 4. Nta pitia hapo kubamba hizo Sahunya = I'll pass by to buy the safariboots
Period: Late 80's
Synonyms:
Pronounciation: (Verb) [ koo-bam-ba ]
Relate: Neti Kujinyce Kujinice
Clarification: -,
No replies yet. Start the conversation.
Manzi yako ni mkonda hadi mukienda kupanda mat unaambiwa”pole buda lakini hatubebi miwa”
naskia UK on a gumbo sensitive ukikula mboco moja Una hara Mani ya beans
UKo na macho kubwa hadi wewe huitwa eye witness
Asubuhi Asubuhi Patco na mapera
We ni mnatty hadi ukiswitch on nokia yako,badala ya hizo mikono kusalimiana,ziugota.