Origin: Unknown
Use: Jemo alibambwa akiwa na korona = James was caught with a prostitute
Period: Mid 90's
Pronounciation: (Noun) [ koh-roh-nah ]
Relate: Mdem Mbuus Dranya Dem Ganji Mkwanja
No replies yet. Start the conversation.
Sistako mshort aneza temebea chini ya bed
Wewe ni fala mpaka uikiingia kwa KBS unapiga hodi na unatoa viatu
were ni mfupi hadi unaendanga marathon ndani ya pekelle
ati kwenu ni wafupi hadi mnadishi mkiwa chini ya meza
Budako mugly mbaka anaishia home kutoka zoo na mandizi mob amegeiwa na matourist