Origin: Unknown
Use: 1. Mwaf ana konda na story ya church ya Nakuru = Mwafrika just won't let go of the story about the Nakuru church. 2. Konda wa ICE-AGE ni jinga sana! = The conductor in the matatu christened ICE-AGE is very stupid
Period: Unknown
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ ko-nda ]
Relate: Kufa Noki Chizi Konkodi
History: 1. Synonymous use of the Swahili word "Konda" which means "to become thin". 2. From English word "Conductor"
Clarification: -,
No replies yet. Start the conversation.
We m-ugly, ulipokuwa mtoi masako alikufeed na feya
Nyumba yenu imejengwa na ugali, wezi wakikuja wanasema “fungueni ama tutarudi na sukuma”
umenona hadi ukivaa t-shirt ya green unakaa kibanda ya mpesa
Ati ulikuwa na bro wako kejani ukiskiza redio halafu mtangazaji akasema ati tunawapeleka moja kwa moja hadi uwanja wa uhuru park. Ati kuskia hivyo mkadandia redio.
unakichwa bigi hadi ukidream unadream 7 in 1