Origin: Unknown
Use: Hizo keja za kokosh kanjo ina dai kuzikinda = The city cousil is planining to sell those kariako houses
Period: Late 90's
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Noun) [ Koh-ko-osh ]
Relate: Ziwa easich Kije Shako
No replies yet. Start the conversation.
Budako uhepa gumbaru, anaenda kuangalia tractor ikikata manyasi
Ati we ni mchoyo mpaka line yako ya YU inaitwa ME
Ati wewe nimchafu mpaka ukiingia kwa lake kuswim, fish zinatoka kutema mate
We ni mrefu mpaka usiku miguu zinalala kwa jirani
Nyanyako ni mdedli karate mpaka wasee wa F2 wakamchora ka baunsa