Origin: Ongwaro 46
Use: Tulienda kadunda tukiwa mtu kobwang - We left for the club as a group of five people
Period: Late 80's
Synonyms: Vongo Ngovo Kobole Tano
Pronounciation: (Verb) [ ko-bwa-ng ]
Relate: Kinde Ashu Salasa Jill Nich Chwani So Rwabe
Variations: Kobwang'a,
No replies yet. Start the conversation.
ati wewe ni mblacki Hadi China ilikata iliku tengeneza
Naskianga ati damu yako ni tamu jo, hadi mosquito zinakamingi na mandazi..!!
wewe ni mfupi hadi unabebanga fifty bob kama mabati.
Ati wewe ni mweusi hadi huwezi kuwa na a BRIGHT idea.
We mfupi mpaka unatoka kwa basi na parachute