We ni mkonda hadi uki dance helicopter una take off…
naskia ukona mdomo kubwa hadi unakula ovacado kama njugu
Kwenu nyi ni ma-miser mpaka price ya colgate ikipanda mnateta na hamna meno
Ulimeza cassette ya koffi ukanyamba ndombolo
umenona hadi ukivaa t-shirt ya green unakaa kibanda ya mpesa