Origin: Unknown
Use: Leo nimecheki risto ya king wenyu kwa gazo = I have seen an article on your boss
Period: Unknown
Pronounciation: (Noun) [ Kee-eng ]
Relate: Ganji Waks Jobiso Udosi
Variations: -,
History: Derived from the English word ''king''
No replies yet. Start the conversation.
naskia shosh Yako Ako na mbio Hadi kwa mlango ameekewa bams
ati nyinyi wadosi mpaka mkienda ocha mnabeba nguo kwa flash disk
Asubuhi asubuhi koo na omena
Ati wewe ni mweusi hadi huwezi kuwa na a BRIGHT idea.
Nyinyi kwenu ni wa black mkiingia kwa moti yenyu dirisha zinakuwa tinted