Search
Origin: Unknown
Use: Palikuwa na wasee kibao kwa wedo ya Kelvo = There were lots of people at Kelvin's wedding
Period: Unknown
Synonyms: Kibeng Fogoti
Pronounciation: (Verb) [ Ke-bao ]
Variations: -,
No replies yet. Start the conversation.
Budako uhepa job kwenda kucheza katii na mboch
Ati uligongwa na gari ya TRUST instead ya kuumia ukanyonji
Kwenu nyinyi ni wagesi mpaka coackroach zinademonstrate juu ya njaa
Mbuyu wako ni mrefu mpaka anauzia wasee wa ndege mahindi ya kuchoma
Mdomo kubwa kama bakuli ya jela