Origin: Ungem main (Nyeri)
Use: Ati sheng ni mbaya! ah hiyo ni katavaa = You mean sheng is bad! no that's a lie
Period: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ kah-tah-vah ]
Relate: Bafu chafu Utape Ukoni
No replies yet. Start the conversation.
kwenu mko wengi hadi mkipakuliwa dishi mwenye amekula fiti ni mwenye amelamba mwiko.
huyu chali ni fala mara yake ya kwanza kumwaga alienda kwa doctor akidaisha nini yake ina homa
Kwenyu kuchafu mpaka mende zenu ni oboho, ati wanaambia wale new wakae ridho kwa kitchen
uko na ngozi tight mpaka ukikunja ngumi macho infunguka.
Manzi yako ame beat hadi badala ya kupelekwa extreem make ova, alipelekwa panel beating!