Origin: Unknown
Use: Kaso ya mine ime lapwa = My cassette has been stolen
Period: Early 80's
Pronounciation: (Noun) [ kah-soh ]
Relate: Music Entertainment
Variations: caso, ,
History: Contracted from "Cassette"
No replies yet. Start the conversation.
We ni mweusi hadi mbu ikitaka kukuuma yo huitisha torch
Mlango za gari yenyu huwa zinafungwa na vifungo za shati
were ni mfupi hadi unaendanga marathon ndani ya pekelle
ati we ni mkonde Hadi una miss mvua
Manzi yako ni mkonda hadi mukienda kupanda mat unaambiwa”pole buda lakini hatubebi miwa”