Origin: Unknown
Use: Niaje msee nikona kanyamo hapa siutafute biz = Hey man i have an asset that can make money look for business
Period: Mid 90's
Synonyms: Burungo
Pronounciation: (Noun) [ Kaa-nya-moh ]
History: Derived from the kikuyu community meaning an or can be anything
No replies yet. Start the conversation.
Kwenyu mmesota sana wezi wakiingia wanatoka na experience tu
huyu mseee ana maskio kubwa,akiinuliwa juu!,anabebwa kaa trophy
We ni mrefu mpaka ukichoka kaa unatembea mtaani unajisupport na wire za simu
Naskianga ati damu yako ni tamu jo, hadi mosquito zinakamingi na mandazi..!!
we ni mblaki Hadi damu inasaculate kwA mwili yako na torch